Makala Mpya

Wasemavyo wasio Waislamu juu ya…Uislamu

Wasemavyo wasio Waislamu juu ya…Uislamu

Wasemavyo wasio Waislamu juu ya… Uislamu DINI INAYOKUA KWA HARAKA ZAIDI ULIMWENGUNI “Ambao husikiliza kauli (nyingi zinazosemwa), wakazifuata zile zilizo njema. Hao ndio aliowaongoza Mwenyezi Mungu, na hao ndio wenye akili.” (Qur’an 39:18) Huuni mkusanyiko wa nukuu fupifupi kutoka kwa watu mbalimbali mashuhuri wasiokuwa Waislamu, wakiwamo wasomi, waandishi, wanafalsafa, washairi, wanasiasa na wanaharakati wa Kimashariki [&hellip

Kwa nini kufuata familia (Ahlul-bayt) ya Mtume (s.a.w.)?

Kwa nini kufuata familia (Ahlul-bayt) ya Mtume (s.a.w.)? “Hakika Mwenyezi Mungu anataka kuwaondoleeni uchafu, enyi watu wa nyumba ya Mtume (Ahlul-Bayt) na kuwatakasa kabisa.” [Aya ya Utakaso, Qur’an 33:33] Mtume Muhammad (s.a.w.) aliulizwa na Maswahaba wake: “Kwa namna gani tukutakie rehema?” … Akajibu: “Semeni: ‘Ewe Mola! Mtakie rehma Muhammad na familia yake, kama ulivyomtakia rehma [&hellip

Toleo la Ijumaa – Toleo la 30 Ijumaa

Ukamilifu wa akili na sifa za Maadili ya Utawala wa al-Mahdi (af) Imam Muhammad al-Baqir (a): “Wakati Qa’im wetu hufanya ujio wake, atakuwa mahali ambapo atauweka mkono wake juu ya wakuu wa watumishi na akili zao kujiunga pamoja na sifa zao za maadili zitakuwa zimekamilika.” (Bihaar al-Anwaar, v.52, p.336) Mtume Muhammad (s): Ni Mtu wa [&hellip

Webina

Webina

Hii ni kuarifiwa kuangalia kwenye Webina, kwa vile kuna tafsir ya Qur’an  — suurah Luqman (Sura ya 31)  kila wiki katika kikao cha pamoja na Sheikh Shomali.  Dr Shomali, huwa na darasa hiyo karibu kila Jumanne ya wiki kuanzia saa 21:00 EST (Toronto, New York, Orlando mara) na 5:00 kwa wakati wa Dar es salaam [&hellip

Mnyang’anyi Mwenye hikima

Kulikuwa na mwizi kijana aliyeshughulika sana kuiba mali za watu, siku moja alijiwa na mawazo akilini  mwake na kujisemea:  ” Kwa jinsi gani  mimi naendelea na udokozi wa kuiba kila wakati na kisha badala yake sinufaiki, kwa nini nisisafiri mpaka katika nyumba ya mfalme na kumuibia mfalme. Na kwamba kiasi hicho cha fedha, nitaweza  kuanzisha [&hellip

Maonyesho ya Mapishi

Maonyesho ya Mapishi

Maonesho ya mapishi – ni kipindi kijulikanacho kwa jina la K N K – Kauthar na Kitchen. Tulianza mradi huu wa majaribio mapema toka mwaka jana. Maonyesho ya mapishi yamependwa sana na tunaendelea kutoa vipindi vipya kila jumatatu

Taarifa – Kila Wiki

Taarifa – Kila Wiki

Tonight, in our Kiswahili talk show segment “Mjadala”, we will be discussing “The crisis in the Middle East (Part 1)” Date: 20th April 2011. Airing time: 22:00 Hrs Language: Kiswahili

Friday Edition – No 29

Women in the Army of Imam al-Mahdi (aj) Imam Ja’far al-Sadiq (a): “There will be thirteen women alongside al-Qa’im [when he makes his advent].” He was asked: “What will be their role?” The Imam (a) replied, “They will treat the injured and look after the sick just as the [women did] at the time of [&hellip