Makala Mpya

Wanamapinduzi wazidi kusonga mbele nchini Libya

Wanamapinduzi wazidi kusonga mbele nchini Libya

Wanamapinduzi wazidi kusonga mbele nchini Libya Wapiganaji wanamapinduzi wa Libya wameripotiwa kupata mafanikio mapya dhidi ya vikosi vitiifu kwa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi huku wakizidi kusonga mbele kuelekea mji mkuu Tripoli wakitokea pande tatu. Wakati hayo yakiripotiwa askari watiifu kwa Gaddafi wamelenga maeneo ya wanamapinduzi magharibi mwa Libya. Msemaji wa wanamapinduzi hao amesema mashambalizi [&hellip

Njia ya kukabiliana na mashambulizi ya kiutamaduni ya mabeberu ni kueneza utamaduni wa Mapinduzi ya Kiislamu

Njia ya kukabiliana na mashambulizi ya kiutamaduni ya mabeberu ni kueneza utamaduni wa Mapinduzi ya Kiislamu

Njia ya kukabiliana na mashambulizi ya kiutamaduni ya mabeberu ni kueneza utamaduni wa Mapinduzi ya Kiislamu Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, njia ya kuweza kukabiliana vilivyo na mashambulizi ya kiutamaduni ya kambi ya kibeberu ni kueneza na kuimarisha risala na ujumbe wa kiutamaduni wa Mapinduzi ya Kiislamu katika upeo wa kimaadili na [&hellip

Clinton azitaka nchi za Afrika zimshinikize Gaddafi ang’oke madarakani

Clinton azitaka nchi za Afrika zimshinikize Gaddafi ang’oke madarakani

Clinton azitaka nchi za Afrika zimshinikize Gaddafi ang’oke madarakani Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amezitaka nchi za Afrika zimshinikize kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi ang’oke madarakani. Hillary Clinton alisema hayo jana wakati alipokuweko Addis Ababa Ethiopia na kuongeza kuwa, nchi za Afrika zinapaswa kusaidia juhudi za kukomeshwa mapigano huko Libya kupitia kumshinikiza Gaddafi [&hellip

Israel yafanya njama za kuzuia kutambuliwa nchi huru ya Palestina

Israel yafanya njama za kuzuia kutambuliwa nchi huru ya Palestina

Israel yafanya njama za kuzuia kutambuliwa nchi huru ya Palestina Utawala wa Kizayuni wa Israel unatumia mbinu mbalimbali ili kukwamisha kutambuliwa rasmi nchi huru ya Palestina katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwezi Septemba mwaka huu. Mhariri wa gazeti la “Vita vya Kiutamaduni” amesema alipohojiwa na televisheni ya Press TV akiweko Indiana nchini Marekani [&hellip

Dikteta aliyekimbilia Saudia hatarejea tena Yemen

Dikteta aliyekimbilia Saudia hatarejea tena Yemen

Dikteta aliyekimbilia Saudia hatarejea tena Yemen Mkuu wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini Yemen amesema kuwa, dikteta Ali Abdullah Saleh hatarejea tena nchini Yemen. Dikteta huyo wa Yemen amekimbilia nchini Saudi Arabia kwa madai ya matibabu. Ali Abdullah Saleh alijeruhiwa katika shambulizi lililofanyika kwenye Ikulu yake mjini Sana’a na kupelekwa nchini Saudi Arabia [&hellip

HRW yaishutumu Kuwait kwa kuwatelekeza wakaazi wa Bidun

HRW yaishutumu Kuwait kwa kuwatelekeza wakaazi wa Bidun

HRW yaishutumu Kuwait kwa kuwatelekeza wakaazi wa Bidun Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limeishutumu serikali ya Kuwait kwa kuwatelekeza wakazi wa eneo la Bidun. Sarah Leah, Mkurugenzi wa Human Rights Watch katika Mashariki ya Kati amesema kuwa, serikali ya Kuwait imewatelekeza zaidi ya wakazi laki moja na elfu 6 wa [&hellip

Juhudi za kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Palestina, ujumbe wa HAMAS na FAT’H waelekea Misri

Juhudi za kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Palestina, ujumbe wa HAMAS na FAT’H waelekea Misri

Juhudi za kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Palestina, ujumbe wa HAMAS na FAT’H waelekea Misri Ujumbe wa harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na ule wa Fat’h umeelekea mjini Cairo Misri ili kushiriki katika mazungumzo ya kuunda serikali huru ya Palestina. Ujumbe wa HAMAS unaongozwa na Musa Abu Marzouk, Naibu wa [&hellip

Vita vya Libya: Wanajeshi wa Gaddafi walipua mifereji ya mafuta

Vita vya Libya: Wanajeshi wa Gaddafi walipua mifereji ya mafuta

Vita vya Libya: Wanajeshi wa Gaddafi walipua mifereji ya mafuta Wanajeshi watiifu kwa kiongozi wa Libya aliyepoteza itibari Kanali Muammar Gaddafi wamevurumisha makombora mazito katika eneo la Misrata ambapo wamefanikiwa kuharibu vibaya mifereji kadhaa ya mafuta ya petroli na hivyo kutatiza juhudi za wanamapinduzi ambao wamedhamiria kuufikia mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli. Imedaiwa kuwa [&hellip

Ahmadinejad: Iran ina nafasi muhimu katika maendeleo ya kimataifa

Ahmadinejad: Iran ina nafasi muhimu katika maendeleo ya kimataifa

Ahmadinejad: Iran ina nafasi muhimu katika maendeleo ya kimataifa Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii ina nafasi nyeti si tu katika maendeleo ya kieneo bali katika maendeleo ya kimataifa kwa ujumla. Akizungumza mapema leo kabla ya safari yake ya kuelekea mjini Astana Kazakhstan ambako anaenda kuhudhuria mkutano wa 10 [&hellip

Kesi dhidi ya Bin Ali kuanza Juni 20 nchini Tunisia bila ya kuwepo kwake

Kesi dhidi ya Bin Ali kuanza Juni 20 nchini Tunisia bila ya kuwepo kwake

Kesi dhidi ya Bin Ali kuanza Juni 20 nchini Tunisia bila ya kuwepo kwake Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Tunisia amesema kuwa kesi dhidi ya dikteta wa zamani wa nchi hiyo aliyetimuliwa madarakanai na wananchi mwanzoni mwa mwaka huu itaanza kusikizwa Juni 20 bila ya rais huyo wa zamani kuweko mahakamani. Beji Caid [&hellip