Category: Mafunzo ya Uanahabari

Semina kuhusu Mafunzo ya Uwanahabari – 18 Jan 2010

Semina kuhusu Mafunzo ya Uwanahabari – 18 Jan 2010

Warsha ya pili kuhusu Uwanahabari Imeandaliwa na Sheikh Abdilahi Nassir Warsha hii ilikuwa ni muendelezo juu ya mafunzo ya awali kuhusu vyombo vya habari ambayo ilifanyika mwezi Desemba 2009 na washiriki walikuwa 47. Warsha hiyo iliwezeshwa na Nyota Foundation pamoja na Alitrah Foundation tarehe 18 Jan 2010. Sheikh Abdilahi Nassir aliendesha semina hiyo kisha baadayei [&hellip

Mafunzo ya semina ya vyombo vya habari-Desemba 12 2009

Mafunzo ya semina ya vyombo vya habari-Desemba 12 2009

Hii ilikuwa semina ya kwanza we washiriki wa Al-Itrah Foundation na kushirikiana na waratibu ambao ni Nyota Foundation. Timu ya wanahabari huvutika  kuona uwezekano wa rasilimali watu wakitumia vipawa vyao katika suala zima la kuandaa habari kwa manufaa ya umma. Waratibu wanayomatumaini na matarajio kwamba mambo haya yatakuwa yakiendelea kwa muda mrefu katika kuwaelimisha washiriki [&hellip