Category: WIPAHS
Maandamano ya wapinzani Guinea Conakry yageuka na kuwa uwanja wa mapigano
Maandamano ya wapinzani Guinea Conakry yageuka na kuwa uwanja wa mapigano Maandamano ya jana ya vijana wanaoipinga serikali ya Guinea Conakry yaligeuka na kuwa vurugu na machafuko baada ya vikosi vya usalama kuingilia kati. Taarifa zaidi zinasema, maelfu ya vijana wa Guinea Conakry walikuwa wakiandamana dhidi ya serikali na kutoa wito wa kufanyika uchaguzi huru





