Category: This Day in History

Imam Mahdi (af) atawafikisha wanadamu kwenye maisha bora yaliyojaa saada ya milele

Imam Mahdi (af) atawafikisha wanadamu kwenye maisha bora yaliyojaa saada ya milele

Imam Mahdi (af) atawafikisha wanadamu kwenye maisha bora yaliyojaa saada ya milele Ukurasa wa kwanzaJumla19:48 – May 21, 2016News ID: 3470325 Tarehe 15 ya mwezi mtukufu wa Shaaban ni siku ya kukumbuka kuzaliwa Mtukufu Imam wa Zama Imam Mahadi (-Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake-af). Katika alfajiri ya siku kama hii yaani mwaka wa 255 Hijiria, [&hellip

Ijumaa, Mei 20, 2016

Ijumaa, Mei 20, 2016

Leo ni Ijumaa tarehe 13 Shaaban mwaka 1437 Hijria mwafaka na tarehe 20 Mei mwaka 2016 Miladia. Siku kama ya leo miaka 56 iliyopita, nchi ya Kiafrika ya Cameroon ilitangaza kupata uhuru wake chini ya mfumo wa jamhuri na siku kama hii hujulikana kama siku ya taifa nchini humo. Kwa miaka kadhaa Cameroon ilikoloniwa na [&hellip

Alkhamisi, Mei 19, 2016

Alkhamisi, Mei 19, 2016

Leo ni Alkhamisi tarehe 12 Shaaban mwaka 1437 Hijria sawa na tarehe 19 Mei mwaka 2016 Miladia. Siku kama ya leo miaka 495 iliyopita, wapiganaji wa utawala wa kifalme wa Othmania waliuteka mji muhimu wa Balkan mji mkuu wa Yugoslavia katika rasi ya Balkan. Utawala wa Othmania ulianza kusonga mbele katika eneo la Balkan kuanzia [&hellip

Jumatatu, Mei 16, 2016

Jumatatu, Mei 16, 2016

Leo ni Jumatatu tarehe 9 ya mwezi Shaaban 1437 Hijria sawa na tarehe 16 Mei mwaka 2016 Miladia. Siku kama ya leo miaka 19 iliyopita, Jenerali Mobutu Sese Seko rais na dikteta wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Zaire ya zamani, aliikimbia nchi hiyo baada ya vikosi vya majeshi ya waasi vilivyokuwa vikiongozwa [&hellip

Akhamisi 09 Aprili, 2015

Akhamisi 09 Aprili, 2015

​Siku kama ya leo miaka 8 iliyopita, inayosadifiana na tarehe 20 Farvardin 1385 ilipewa jina la Siku ya Taifa ya Teknolojia ya Nyuklia baada ya kutangazwa habari ya mafanikio makubwa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika teknolojia ya nyuklia na kurutubisha madini ya urani kwa ajili ya matumizi ya kiraia.  Wasomi na wataalamu wa [&hellip

Jumatano, Aprili 8, 2015

Jumatano, Aprili 8, 2015

Siku kama ya leo miaka 35 iliyopita utawala wa Baathi nchini Iraq uliwaua Shahidi Sayyid Muhammad Baqir-Sadr na dada yake, Bintul Huda.  Sayyid Sadr alijifunza Qur’ani Tukufu na elimu nyingine za kidini akiwa mdogo na kupata daraja ya ijtihadi akiwa kijana. Alikuwa mmoja wa walimu wakubwa wa chuo cha kidini mjini Najaf, Iraq kiasi kwamba [&hellip

Ijumaa, Aprili 3, 2015

Ijumaa, Aprili 3, 2015

Tarehe 13 Jamadithani mwaka 64 Hijria alifariki dunia Fatima bint Hizam al Amiriyya al Kilabiyya, maarufu kwa laqabu ya Ummul Banin, mke mwema na mcha Mungu wa Imam Ali bin Abi Twalib (as). Wanahistoria wamehitilafiana juu ya siku aliyozaliwa na baadhi wanasema alizaliwa mwaka wa 5 baada ya Hijra ya Mtume (saw). Imam Ali bin [&hellip

Alkhamisi, 02 Aprili 2015

Alkhamisi, 02 Aprili 2015

​Siku kama ya leo miaka 24 iliyopita, vibaraka wa utawala wa Baath uliokuwa ukiongozwa na Saddam Hussein huko Iraq walivamia na kuivunjia heshima Haram ya Imam Ali bin Abi Twalib A.S katika mji mtakatifu wa Najaf na ya Imam Hussein A.S huko katika mji mtukufu wa Karbala, sambamba na kuyakandamiza mapambano ya Waislamu wa kusini [&hellip

Jumatano, Aprili Mosi, 2015

Jumatano, Aprili Mosi, 2015

Siku kama ya leo miaka 36 iliyopita, sawa na tarehe 12 Farvardin mwaka 1358 Hijiria Shamsia, baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, wananchi Waislamu wa Iran walishiriki katika kura muhimu ya kihistoria ya maoni ya kuamua mfumo uliotakiwa kutawala hapa nchini. Kura hiyo ya maoni ilifanyika kwa muda wa siku mbili. Katika kura hiyo [&hellip

Jumanne, Machi 31, 2015

Jumanne, Machi 31, 2015

​Siku kama ya leo miaka 67 iliyopita garimoshi lililokuwa likitoka Cairo Misri likielekea katika bandari ya Haifa huko Palestina lililipuriwa kwa bomu, baada ya kushadidi mauaji ya umati dhidi ya Wapalestina yaliyokuwa yakifanywa na Wazayuni maghasibu.  Wapalestina 40 waliuawa na wengine 60 kujeruhiwa katika jinai hiyo iliyofanywa na kundi moja la Kizayuni. Siku nne kabla [&hellip