Category: Mengineyo

Al-Wilayaat article on The Citizen (English)

Al-Wilayaat article on The Citizen (English)

Recent Seminar held at university of Dar es Salaam has been published in The Citizen. The seminar was conducted to promote peaceful relations between inter-faith tolerance. Click on the following link to view the article: AL–WILAYAAT

Jumatatu, Machi 11, 2013

Jumatatu, Machi 11, 2013

Siku kama ya leo miaka 7 iliyopita, Slobodan Milosevic dikteta wa Yugoslavia ya zamani aliaga dunia akiwa jela mjini Hague Uholanzi huku akiwa na umri wa miaka 64. Milosevic alitiwa mbaroni mwaka 2001 miezi tisa baada ya kuanguka utawala wake na kukabidhiwa kwa mahakama ya watenda jinai wa Yugoslavia ya zamani huko Hague. Slobodan Milosevich [&hellip

Jumamosi, Machi 9, 2013

Jumamosi, Machi 9, 2013

Siku kama ya leo miaka 21 iliyopita Menachem Begin mmoja wa waasisi wa utawala haramu wa Kizayuni na chama cha mrengo wa kulia cha Likud aliangamia. Begin alizaliwa huko Russia mwaka 1913 na baba yake ambaye alikuwa Mzayuni mwenye misimamo mikali alikuwa na taathira na nafasi kubwa katika malezi yake. Akiwa na umri wa miaka 12, [&hellip

Ijumaa, Machi 08, 2013

Ijumaa, Machi 08, 2013

Siku kama ya leo miaka 1066 iliyopita mwaka 368 Hijiria, alizaliwa mjini Corduba, Uhispania, faqih, mtaalamu wa hadithi, fasihi na mwanahistoria Abu Omar Yusuf bin Abdullah, mashuhuri kwa jina la Ibn Abdul Barr. Alipata masomo ya msingi kutoka kwa baba yake na walimu wengine wakubwa wa kipindi hicho. Ibn Abdul Barr aliupa umuhimu mkubwa utafiti, [&hellip

Alkhamisi, Machi 7, 2013

Alkhamisi, Machi 7, 2013

Siku kama hii ya leo miaka 77 iliyopita vikosi vya jeshi la Ujerumani ya Kinazi vilifanya mashamulizi ya kwanza baada ya Vita vya Kwanza vya Dunia. Wanajeshi wa Ujerumani walipuuza makubaliano ya Warsaw na Locarno kwa amri ya Adolph Hitler na hivyo kuingia eneo la Ranani. Kwa mujibu wa makubaliano hayo ya Locarno na Warsaw [&hellip

Jumatano, Machi 6, 2013

Jumatano, Machi 6, 2013

Siku kama ya leo miaka 56 iliyopita, nchi ya Kiafrika ya Ghana ilifanikiwa kupata uhuru chini ya uongozi wa Dakta Kwame Nkurumah na siku hii inajulikana nchini humo kama siku ya kitaifa. Ghana ilitumbukia katika makucha ya mkoloni kuanzia karne ya 15 Miladia baada ya wakoloni wa Kireno kuingia nchini humo. Baada ya Wareno, Waingereza [&hellip

Jumanne, Machi 5, 2013

Jumanne, Machi 5, 2013

Siku kama ya leo miaka 186 iliyopita, sawa na tarehe 5 Machi 1827 alifariki dunia Alessandro Volta, mtaalamu wa fizikia wa Italia akiwa na umri wa miaka 83. Sambamba na kufundisha katika chuo kikuu, Volta alikuwa akifanya uhakiki na alifanikiwa kutengeneza chombo cha kupimia kiwango cha umeme Electrometre. Miaka 60 iliyopita katika siku kama ya [&hellip

REFLECTIONS ISSUE #22 (ENGLISH)

REFLECTIONS ISSUE #22 (ENGLISH)

ALI Reflections, Issue no. 22 – February 2013 Every day He is in different splendor. Surat al-Rahman, 55:29 Change is one of the most important aspects of life. Each new day things change in the universe. The seasons change, and all of nature is continuously changing.  All aspects of the human being are also constantly [&hellip

Jumatatu, Machi 4, 2013

Jumatatu, Machi 4, 2013

Siku kama ya leo miaka 190 iliyopita, vikosi vya Ugiriki vilitekeleza mauaji makubwa dhidi ya Waislamu wa ufalme wa Othmania na kuwaua kwa halaiki wanajeshi elfu 12 katika mji wa Tripolitsa. Makundi ya Wagiriki yaliyobeba silaha kwa himaya na nchi kadhaa za Ulaya, yaliungana na kutekeleza mauaji hayo katika muongo wa mwanzo wa karne ya [&hellip

Isha Dua – Arabic With English Translation