Category: Mengineyo

Jumamosi, Mei 31, 2014

Jumamosi, Mei 31, 2014

Siku kama hii ya leo miaka 1039 iliyopita inayosadifiana na tarehe Pili Shaaban mwaka 396 Hijria, alizaliwa Khaje Abdullah Ansari,  faqihi, malenga na ‘arif mtajika katika mji wa Herat magharibi mwa Afghanistan. Khaje Abdullah Ansari ameacha vitabu vingi mashuhuri vya kiirfani ambavyo vimeandikwa kwa lugha ya Kiarabu na Kifarsi, ikiwa ni pamoja na ‘Munajaat Naame’, [&hellip

Shufaa kwa mtazamo wa Ahlu Sunna

Shufaa kwa mtazamo wa Ahlu Sunna

Karibuni kujumuika nami katika kipindi kingine cha Makala ya Wiki ambacho leo kitatupia jicho kadhia nzima ya shafaa au kwa lugha nyingine, uombezi, karibuni. Wakati mwengine mwanadamu maishani mwake hufanya dhambi ambapo kutokana na hali hiyo hujihisi kuvunjika moyo na kukata tamaa kuhusiana na rehema za Mwenyezi Mungu. Aidha wakati mwingine dhambi huwa kubwa  kiasi [&hellip

Ijumaa, Mei 30,2014

Ijumaa, Mei 30,2014

Leo ni tarehe Mosi mwezi wa Shaaban. Mwezi wa Shaaban ni mwezi wa ibada, kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu na kuomba maghfira. Mtume Muhammad (SAW) aliutukuza mno mwezi huu na kuuita kuwa ni mwezi wake. Mtume Mtukufu na Maimamu watoharifu waliusia mno kufanya ibada hasa kufunga katika mwezi huu wa Shaabani kwa sababu ndio unaotayarisha uwanja [&hellip

Alkhamisi, Mei 29, 2014

Alkhamisi, Mei 29, 2014

Siku kama ya leo miaka 561 iliyopita sawa na tarehe 29 Mei 1453 ilikombolewa bandari ya Constantine iliyokuwa makao makuu ya Mfalme wa Roma ya Mashariki na vikosi vya Sultani Muhammad Fatih, mtawala wa dola ya Othmaniya. Amri ya kwanza iliyotolewa na Muhammad Fatih baada ya kuudhibiti mji huo ilikuwa ni kudhaminiwa usalama na uhuru [&hellip

Jumatano, Mei 28, 2014

Jumatano, Mei 28, 2014

Siku kama ya leo miaka 34 iliyopita, inayosadifiana na tarehe 7 Khordad 1359 Hijria Shamsia, kilifunguliwa kikao cha duru ya kwanza ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani bunge hapa nchini. Bunge la Iran lina majukumu ya kutunga sheria pamoja na kusimamia moja kwa moja shughuli za rais pamoja na baraza lake la mawaziri. Idadi [&hellip

Jumanne, Mei 27, 2014

Jumanne, Mei 27, 2014

Siku kama ya leo miaka 1448 iliyopita, Mtume Mtukufu wa Uislamu Muhammad Mustafa SAW alibaathiwa yaani kupewa Utume na Mwenyezi Mungu. Kipindi hicho Mtume Muhammad SAW alikuwa amefikisha miaka 40 katika umri wake uliojaa baraka. Mtume Muhammad SAW alianza kutafakari na kudurusu maumbile ya dunia akiwa bado mdogo na daima alikuwa akifirikia njia za kunyanyua [&hellip

Jumatatu, Mei 26,2014

Jumatatu, Mei 26,2014

Siku kama ya leo miaka 1438 iliyopita, Abu Twalib ami ya Mtume Muhammad (SAW) na baba wa Imam Ali (A.S) alifariki dunia wakati Waislamu walipokuwa chini ya mzingiro wa washirikina wa Makka. Abu Twalib alikuwa pamoja na Waislamu wengine huko katika Shiibi Abi Twalib. Mtume Muhammad (SAW) alikuwa chini ya uangalizi wa Abu Twalib tangu [&hellip

(English) What is Islam’s view on dinosaurs?

Language Not available

Qur’anic Reflections, Āyat 9:36

  Bismillāh May 2, 2014/ Rajab 2, 1435 Qur’anic Reflections, Āyat 9:36 إِنَّ عِدَّةَ الشُّهُورِ عِنْدَ اللَّهِ اثْنَا عَشَرَ شَهْرًا فِي كِتَابِ اللَّهِ يَوْمَ خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ مِنْهَا أَرْبَعَةٌ حُرُم Inna  ‘iddatash-shuhūri ‘indallāhi-thnā ‘ashara sharan fī kitābi-llāhi yawma khalaqas-samāwāti wal-ardha minhā arba‘atun hurum Indeed the number of months with Allah is twelve months in Allah’s [&hellip

Formula of Islamic Unity

Welcome to a special article on the occasion of Unity Week that spans the two dates of the month of Rabi al-Awwal, that is, the 12th and 17th, which Sunnis and Shi’ite Muslims respectively believe to be the birth anniversary of the Messenger of Mercy, Prophet Mohammad (SAWA), regarding whom God Almighty says in ayah [&hellip