Category: Michezo

Putin kutumia kombe la Dunia katika amani.

Putin kutumia kombe la Dunia katika amani.

Mwanasiasa wa siku nyingi nchini Urusi Boris Johnson amesema anakubaliana na kauli ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kuwa ataitumia michuano ya kombe la Dunia kuifanya Urusi kuwa nchi ya amani kama alivyowahi kuitumia rais wa Ujerumani Aldolf Hitler michuano ya Olimpiki ya mwaka 1936 katika masuala ya amani. Johnson amesema kuwa kutakuwa na mazungumzo [&hellip

Cristiano Ronaldo ashinda tuzo ya mwanasoka bora Ureno.

Cristiano Ronaldo ashinda tuzo ya mwanasoka bora Ureno.

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya mwanasoka bora ya mwaka 2017 nchini Ureno. Ronaldo alitangazwa kupitia hafla iliyofanyika mjini Lisbon, baada ya kuwashinda wachezaji Bernardo Silva wa Manchester City na kipa wa klabu ya Sporting Lisbon Rui Patricio. Ameshinda tuzo hiyo baada ya kuisaidia Real kushinda mataji yote ya La [&hellip

Cristiano Ronaldo afunga hat-trick yake ya 50.

Cristiano Ronaldo afunga hat-trick yake ya 50.

Cristiano Ronaldo alifunga hat-trick yake ya 50 tangu aanze kucheza soka ya kulipwa huku Real Madrid ikiilaza Girona na hivyobasi kupanda hadi nafasi ya tatu katika ligi ya La Liga. Ronaldo alifunga krosi ya Toni Kroos lakini kichwa cha Cristhian Stuan kilifsawazisha na kufanya mambo kuwa 1-1 Real hatahivyo ilichukua uongozi kufuatia shambulizi kali la [&hellip

Paul Pogba ‘hana raha’ Old Trafford: Didier Deschamps.

Paul Pogba ‘hana raha’ Old Trafford: Didier Deschamps.

Kocha mkuu wa kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa Didier Deschamps amesema kwa sasa mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Paul Pogba hana furaha Mshambuliaji huyo amekuwa si mtu mwenye furaha na kuonekana hapendwi katika uwanja wao wa Old Trafford. Pogba yupo katika kikosi cha Ufaransa kwa ajili ya michezo ya kirafiki dhidi ya [&hellip

Ngorongoro Heroes Yaichapa Morocco 1-0 Yaisubiri Msumbiji Jumtano Uwanja Wa Uhuru.

Ngorongoro Heroes Yaichapa Morocco 1-0 Yaisubiri Msumbiji Jumtano Uwanja Wa Uhuru.

Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes imepata ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Morocco katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jioni ya jana. Katika mechi hiyo iliyohudhuriwa na Waziri Mkuu, Dk. Kassim Majaliwa, bao pekee la Tanzania limefungwa na Muhsin Makame aliyetokea benchi [&hellip

Mohammed Salah ananyatiwa na barcelona, Real Madrid na PSG.

Mohammed Salah ananyatiwa na barcelona, Real Madrid na PSG.

Barcelona, Paris St-Germain na Real Madrid zinataka kumsajili mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah , 25 kwa dau la uhamisho litakalovunja rekodi la £200m. Raia huyo wa Misri amefunga mabao 28 katika ligi ya Uingereza msimu huu. (Sun) Beki wa Manchester United Luke Shaw, 22, anahisi kwamba meneja Jose Mourinho anamnyanyasa na kwamba raia huyo wa [&hellip

Wambura afungiwa maisha.

Wambura afungiwa maisha.

Makamu wa Rais wa shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Michael Wambura amefungiwa kifungo cha maisha cha kutojihusisha na mchezo wa soka popote pale baada ya kukutwa na makosa matatu dhidi yake. Hayo yamebainishwa na Kamati ya Maadili ya TFF leo wakati walivyokuwa wanazungumza na waandishi wa habari makao makuu ya TFF, Jijini Dar [&hellip

Yanga yaipumulia Simba.

Yanga yaipumulia Simba.

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wameendelea kupeleka presha kwa Simba baada ya jana kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Kwa matokeo hayo, Yanga imerejea katika nafasi ya pili na kuendelea kumfukuza mnyama kimya kimya kwa kufikisha pointi [&hellip

HUU HAPA UKWELI KUHUSU LWANDAMINA KUACHANA NA YANGA NA KWENDA KLABU YA ZESCO

HUU HAPA UKWELI KUHUSU LWANDAMINA KUACHANA NA YANGA NA KWENDA KLABU YA ZESCO

Wakati Yanga ikishuka Uwanja wa Nagwanda Sijaona kuivaa Ndanda leo, wingu zito limetanda juu ya hatma ya kocha George Lwandamina anayehusishwa kutakiwa haraka na mabingwa wa Zambia, Zesco United. Lwandamina mkataba wake na Yanga utamalizika mwisho wa msimu huu, lakini tayari amehusishwa kutakiwa na Zesco mapema zaidi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Zesco, [&hellip

Liverpool yailima FC Porto 5-0.

Liverpool yailima FC Porto 5-0.

Sadio Mane walifunga hat-trick wakati Liverpool walipata ushindi mkubwa kwa kuwalima FC Porto 5-0 Sadio Mane alikuwa wa kwanza kutikiza wafu wa kipa Jose Sa. Mohamed Salah akafuatia na bao la pili na lake la 31 tangu ajiunga na Liverpool. Mashambulizi ya counter-attack ya Liverpool yalisababisha Sa kuutema mkwaju kutokana na shambulizi lililofanywa na Mane [&hellip