Category: Michezo

Wawili waunganishwa kesi ya Malinzi.

Wawili waunganishwa kesi ya Malinzi.

Wafanyakazi wawili wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wameunganishwa na wenzao watatu akiwemo aliyekuwa Rais wa shirikisho hilo, Jamal Malinzi wanaokabiliwa na mashitaka ya utakatishaji fedha. Washitakiwa hao ni Meneja wa Ofisi ya TFF, Miriam Zayumba na Karani wa TFF, Flora Rauya ambao walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana na kusomewa mashitaka mbele [&hellip

Kocha wa klabu ya New York City patrick Vierra miongoni mwa watakaomrithi Wenger.

Kocha wa klabu ya New York City patrick Vierra miongoni mwa watakaomrithi Wenger.

Kiungo wa kati wa zamani wa Arsenal na mkufunzi wa klabu ya New York City nchini Marekani Patrick Vieira ni miongoni mwa wakufunzi walioorodheshwa kumrithi mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger atakapostaafu. (Mail) Klabu ya Tottenham inataka kumnunua winga wa klabu ya Leicester 21 Demarai Gray. Tottenham ilitaka kumsajili Gray msimu wa dirisha la uhamisho ulioisha [&hellip

Magoli ya nyumbani yaibeba Yanga, yatinga hatua ya makundi kwa kichapo.

Magoli ya nyumbani yaibeba Yanga, yatinga hatua ya makundi kwa kichapo.

Klabu ya soka ya Yanga imefanikiwa kufuzu katika hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika licha ya kuambulia kichapo kutoka kwa wapinzania wao Welayta Dicha kutoka Ethiopia. Katika mchezo huo wa pili ambao umechezwa katika uwanja wa Hawassa nchini humo, wenyeji wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ambalo lilifungwa na Arafat Djako [&hellip

Neymar atarajia kurudi katika Kombe la Dunia baada ya kupoa mguu aliovunjika.

Neymar atarajia kurudi katika Kombe la Dunia baada ya kupoa mguu aliovunjika.

Mchezaji wa kimataifa wa Brazil Neymar anatarajiwa kuwa katika afya nzuri kuweza kushiriki katika Kombe la Dunia msimu huu wa joto na anasema atarudi katika mazoezi Mei 17 baada ya kuwa nje kufuatia kuvunjika mguu. Mchezaji huyo wa kiungo cha mbele wa Paris St-Germain alihitaji kufanyiwa upasuaji mfupa baada ya kujeruhiwa katika mechi ya ligimnamo [&hellip

Birmigham mwenyeji michuano ya madola 2022.

Birmigham mwenyeji michuano ya madola 2022.

Jumapili hii mji wa Gold Coast Australia utaukabidhi kijiti cha uenyeji wa michezo ya jumuiya ya madola mji wa Birmingham wa Uingereza. Birmingham inategemea kuwa mwenyeji wa michuano ya jumuiya ya madola ya mwaka 2022. Mpango wa paundi milioni 70 kukipanua na kukiboresha Alexander Stadium ya Birmingam umetangazwa.Mpango huo utakiboresha kiwanja hicho chenye umri wa [&hellip

R.Madrid yatinga nusu fainali ‘kibabe’.

R.Madrid yatinga nusu fainali ‘kibabe’.

Goli la Penati lilofungwa na Cristiano Ronaldo katika dakika za majeruhi limeiingiza Real Madrid katika nusu fainali za Ligi ya Mabingwa Ulaya. Penati hiyo ilikuja baada ya Medhi Benatia katika mazingira yenye utata kumdondosha Lukas Vazquez kwenye ene la hatari. Ni katika mazingira hayo hayo, kwa kile kilichosemwa kuwa ni matumizi ya lugha mbaya, mlinda [&hellip

Yanga kuivaa Singida Leo.

Yanga kuivaa Singida Leo.

TFF Yaibeba Yanga.

TFF Yaibeba Yanga.

Uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umesema kuwa unaji­panga kuhakikisha unaisaidia na Yanga katika mchezo wake wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Wolayta Dicha utakaofanyika Aprili 18, mwaka huu huko Ethiopia. Lengo kubwa la TFF kufanya hivyo ni kutaka kuiona Yanga inatinga hatua ya makundi ya michuano hiyo kwani ndiyo timu [&hellip

Gabriel Jesus awaokoa Brazil kutoka mikononi mwa Ujerumani, Argentina wachapwa 6-1.

Gabriel Jesus awaokoa Brazil kutoka mikononi mwa Ujerumani, Argentina wachapwa 6-1.

Ujerumani walishindwa kwa mara ya kwanza katika mechi 23 baada ya mshambuliaji wa Manchester City Gabriel Jesus kuwafungia Brazil bao moja na kuwapa ushindi wa 1-0 jijini Berlin. Hiyo ilikuwa mara ya kwanza kwa mataifa hayo mawili kukutana uwanjani tangu Ujerumani walipowaaibisha Brazil 7-1 katika nusufainali ya Kombe la Dunia mwaka 2014 mjini Belo Horizonte. [&hellip

Mtoto wa Weah aitwa kikosi cha Marekani.

Mtoto wa Weah aitwa kikosi cha Marekani.

Chipukizi mshambuliaji wa Paris Saint-Germain (PSG), Tim Weah, mtoto wa Rais wa Liberia na mchezaji bora wa dunia wa mwaka 1995, George Weah, ndiye mchezaji mdogo zaidi kuitwa katika kikosi hicho kwa ajili ya mchezo dhidi ya Paraguay. Kocha wa muda wa timu ya taifa ya Marekani, Dave Sarachan alitangaza orodha ya wachezaji kwa ajili [&hellip