Category: Michezo

Mamia Wamzika Mashali.

Mamia Wamzika Mashali.

Mamia ya wakazi wa Dar es Salaam jana walijitokeza viwanja vya Leaders kumuaga na baadaye katika makaburi ya Kinondoni kumzika bondia mahiri wa ndondi za kulipwa Thomas Mashali ‘Simba Asiyefugika’. Mashali, ambaye alizaliwa mwaka 1980, alishawahi kunyakua ubingwa wa Dunia wa UBO. Alifariki dunia Oktoba 30 wakati akikimbizwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada [&hellip

Simba Eeh! Yanga Pancha.

Simba Eeh! Yanga Pancha.

Wakati mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wakipoteza mchezo wa pili katika Ligi Kuu, watani zao Msimbazi wamezidi kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo. Yanga jana walipokea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Mbeya City au Koma Kumwanya katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Sokoine wakati Simba ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi [&hellip

Uefa: Madrid Yabanwa Ugenini.

Uefa: Madrid Yabanwa Ugenini.

Klabu bingwa barani Ulaya imeendelea usiku wa kuamkia leo ikiwa bado katika hatua za makundi. Mchezo wa kusisimua zaidi ukiwa kati ya Legia Warsaw dhidi ya Real Madrid ambao ulikuwa wa piga nikupige. Huku ikishuhudiwa Gareth Bale akifunga goli la kusisimua zaidi. Matokeo ya mwisho Legia Warsaw 3-3 Real Madrid. Monaco ikiwa nyumbani imeibuka na [&hellip

David Moyes apigwa marufuku mechi moja na FA.

David Moyes apigwa marufuku mechi moja na FA.

Meneja wa Sunderland David Moyes amepigwa marufuku mechi moja na chama cha soka cha England kwa kutumia lugha ya matusi dhidi ya mwamuzi wa mechi. Aidha, amepigwa faini ya £8,000. Kisa hicho kilitokea baada ya refa kunyima Sunderland mkwaju wa penalti dakika ya 90 mechi ya Jumatano wiki iliyopita ambapo klabu hiyo ilishindwa 1-0 na [&hellip

UEFA: Man City yalipiza kisasi kwa Barcelona.

UEFA: Man City yalipiza kisasi kwa Barcelona.

Klabu bingwa barani ulaya iliendelea tena usiku wa kuamkia leo, ambapo kulikuwa na jumla ya michezo minane. Manchester City wakiwa nyumbani walilipa kisasi dhidi ya Barcelona kwa kuichakaza magoli 3-1. Washika bunduki wa london Arsenal waliendelea kudhihirisha ubabe wao mbele ya Ludogorets Razgrad ya Bulgaria kwa ushindi wa 3-2 Atletico Madrid wakiwa nyumbani waliibuka na [&hellip

Frank de Boer Afutwa Inter Milan Baada Ya Siku 85.

Frank de Boer Afutwa Inter Milan Baada Ya Siku 85.

Frank de Boer amefutwa kazi na klabu ya Inter Milan ya Italia baada ya kufanya kazi kwa siku 85 pekee ambapo ambapo ameshindwa mechi nne ligini. Inter wamo nambari 12 kwa sasa Serie A baada ya kushindwa 1-0 Sampdoria Jumapili. Hiyo ilikuwa mechi yao ya nne kushindwa katika mechi tano za ligi walizocheza chini yake [&hellip

Taifa Stars Kucheza Na Zimbabwe.

Taifa Stars Kucheza Na Zimbabwe.

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), limepokea mwaliko kutoka Chama cha Mpira wa Miguu Zimbabwe, kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Tanzania, Taifa Stars. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Ofisa habari wa TFF,Alfred Lucas alisema kwamba baada ya kupokea barua hiyo shirikisho limeridhia na wakati wowote kocha mkuu wa timu [&hellip

Simba Kuwavaa Kiboko Wa Yanga.

Simba Kuwavaa Kiboko Wa Yanga.

Simba, Yanga na Azam zinashuka dimbani leo kwenye viwanja tofauti kwenye michuano ya Ligi Kuu Soka Tanzania bara kila mmoja ikisaka pointi tatu muhimu. Hata hivyo, mchezo utakaovuta hisia za wapenzi wengi wa michezo ni ule wa Simba na Stand United utakaofanyika kwenye Uwanja wa Kambarage, kwani wapiga debe hao walizikalisha Yanga na Azam FC [&hellip

Guardiola; Mechi Ya Leo Ni Kama Fainali.

Guardiola; Mechi Ya Leo Ni Kama Fainali.

Meneja wa Manchester City Pep Guardiola, anasema kuwa mechi kati ya klabu yake na Barcelona inastahili kuchukuliwa ni kama fainali. Manchester City ilichapwa mabao 4-0 na Barcelona kwenye mechi ya kundi C iliyochezwa nchini Uhispania kuwania kombe la klabu bingwa barani Ulaya. Sergio Aguero anatarajiwa kuwa katika kikosi cha kwanza cha Manchester City naye Pablo [&hellip

Schweinsteiger Arejea Kikosi Cha Kwanza Man U.

Schweinsteiger Arejea Kikosi Cha Kwanza Man U.

Mshindi wa kombe la dunia 2014, Bastian Schweinsteiger amerudi katika mazoezi na kikosi cha kwanza cha Manchester united. Kiungo huyo mwenye miaka 32 amekuwa akifanya mazoezi na kikosi cha wachezaji wa chini ya umri wa miaka 23 tangu Jose Mourinho alipoteuliwa kuwa kocha msimu huu. Nahodha huyo wa zamani wa Ujerumani kwa mara ya mwisho [&hellip