Category: Michezo

England 2-1 Tunisia

England 2-1 Tunisia

Ukame wa Uingereza wa kutopata ushindi mechi ya kwanza Kombe la dunia miaka 12 umekwisha baada ya Harry Kane kuifunga Tunisia mabao mawili Ingawa Uingereza na Ubelgiji wako na alama 3 kila mmoja, Ubelgiji ndio wanaongoza Kundi G, baada ya kuitesa Panama 3-0. Mabao ya Harry Kane limeipaisha Uingereza hadi nafasi ya pili. Ni mara [&hellip

Kombe la Dunia 2018 Urusi: Ubelgiji na Senegal washinda mechi za maandalizi.

Kombe la Dunia 2018 Urusi: Ubelgiji na Senegal washinda mechi za maandalizi.

Romelu Lukaku alifunga mabao mawili na kuwawezesha Ubelgiji kupata ushindi mkubwa wa 4-1 dhidi ya Costa Rica, nao Senegal wakashinda 2-0 dhidi ya Korea Kusini mechi zao za mwisho ya kujiandaa kwa Kombe la Dunia. Ubelgiji, ambao wamo Kundi G pamoja na England walikuwa bila beki wao aliyeumia Vincent Kompany. Kiungo wao Eden Hazard pia [&hellip

Ghana yavunjilia mbali chama cha soka kutokana na tuhuma za rushwa.

Ghana yavunjilia mbali chama cha soka kutokana na tuhuma za rushwa.

Ghana imevunjilia mbali chama cha soka baada ya rais wake kunaswa katika video akionekana akipokea ‘zawadi ya pesa’. Kwesi Nyantakyi alipigwa picha akipokea $65,000 kutoka kwa mwandishi habari mpekuzi aliyejifanya kuwa mfanyibiashara aliye na hamu kubwa kuwekeza katika soka Ghana. Mpaka sasa hajasema chochote kuhusu tuhuma hizo. Waziri wa michezo Isaac Asiama amesema chama hicho [&hellip

Zinedine Zidane aachia ngazi Real Madrid.

Zinedine Zidane aachia ngazi Real Madrid.

Zinedine Zidane amesema anaachia ngazi Real Madrid siku tano baada ya kuwaongoza kushinda Ligi ya Mabingwa Ulaya. Zidane aliambia mkutano na vyombo vya habari kwamba kila kitu kinabadilika na kwamba hiyo ndio sababu ya uamuzi wake Anaondoka baada ya kuisaidia klabu hiyo kushinda mataji matatu ya klabu bingwa na taji moja la ligi ya La [&hellip

Mohamed Salah: Nina ‘matumaini makubwa’ ya kucheza Kombe la Dunia Urusi 2018.

Mohamed Salah: Nina ‘matumaini makubwa’ ya kucheza Kombe la Dunia Urusi 2018.

Mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah amesema ana uhakika wa kuwepo kwenye michuano ya kombe la dunia baada ya kupata majeraha ya bega kwenye mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid. Salah, 25, aliondoka uwanjani mjini Kiev akiwa analia baada ya kuchezewa rafu na mlinzi wa Real Madrid Sergio [&hellip

Rais wa Ghana aamrisha kukamatwa mwenyekiti wa shirikisho la kandanda Ghana.

Rais wa Ghana aamrisha kukamatwa mwenyekiti wa shirikisho la kandanda Ghana.

Rais wa Ghana Akufo-Addo amemrisha kukamatwa mwenyekiti wa shirikisho la kandanda la Ghana Kwesi Nyantekyi, ambaye pia ni makamu wa rais wa kwanza wa shirikisho la kandanda barani Afrika CAF. Hatua hiyo inafuatia makala moja ya uchunguzi ambayo inamhusisha Kwasi Nyantekyi na vitendo vya ulaghai. Inadaiwa kuwa alitumia jina la rais wakati akipanga na kutekeleza [&hellip

Urusi 2018: Neymar awekwa kikosi cha Brazil cha Kombe la Dunia licha ya jeraha.

Urusi 2018: Neymar awekwa kikosi cha Brazil cha Kombe la Dunia licha ya jeraha.

Brazil wamemtaka mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar, ambaye bado anauguza jeraha, katika kikosi cha wachezaji 23 ambao wanatarajiwa kuchezea taifa hilo katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi. Neymar, 26, alifanyiwa upasuaji mwezi Machi na daktari wa timu ya taifa ya Brazil alisema hataweza kucheza kwa miezi mitatu. Wachezaji wanne wanaochezea Manchester City Ederson, [&hellip

Gor Mahia kucheza dhidi ya Hull City kutoka Uingereza.

Gor Mahia kucheza dhidi ya Hull City kutoka Uingereza.

Mabingwa wa ligi ya kandanda nchini Kenya Gor Mahia watakabiliana na klabu ya Uingereza Hull City jijini Nairobi. Hull City, ambayo hushiriki katika ligi ya daraja la pili EFL nchini Uingereza wanatarajiwa kuwasili siku ya Ijumaa kwa mechi ya kirafiki siku ya Jumapili katika uwanja wa Kasarani.. Ziara ya klabu hiyo barani Afrika inafadhiliwa na [&hellip

Barcelona yatoshana nguvu na Madrid El Clasico.

Barcelona yatoshana nguvu na Madrid El Clasico.

Mchezo wa pili wa El Clasico kati ya mahasimu Fc Barcelona na Real Madrid kwa msimu wa La Liga wa 2017/2018 uliopigwa katika dimba la Camp Nou ulimalizika kwa sare ya kufungana magoli 2-2. Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez, ndio alianza kuipatia timu yake goli la kuongoza katika dakika ya kumi, ya mchezo, iliwachukua dakika [&hellip

Serengeti Boys wa Tanzania watwaa ubingwa Cecafa U17.

Serengeti Boys wa Tanzania watwaa ubingwa Cecafa U17.

Serengeti Boys walitwaa ubingwa baada ya kuwalaza Somalia mabao 2-0 katika mechi ya fainali iliyochezewa mjini Bujumbura, Burundi. Mabao ya Serengeti yalitiwa kimiani na Edson Jeremiah na Japhary Mtoo. Ushindi huo ndio wa kwanza tangu kuanzishwa kwa michuano hiyo mwaka 2007 na unatarajiwa kuwatia moyo vijana hao wanapijiandaa kushindi michuano ya Kombe la Vijana Mabingwa [&hellip