Category: Michezo

Magufuli Kupokea Kifimbo Cha Malkia.

Magufuli Kupokea Kifimbo Cha Malkia.

Rais John Magufuli anatarajia kupokea Kifimbo cha Malkia wa Uingereza, Ikulu Dar es Salaam Aprili 10 mwaka huu, imeelezwa. Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi alisema kuwa, kifimbo hicho, ambacho kitawasili nchini Aprili 8 kitapitishwa katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kabla ya kutua Ikulu Aprili 10, ambako [&hellip

Barcelona yaandika historia kwa ushindi wa 6-1.

Barcelona yaandika historia kwa ushindi wa 6-1.

Barcelona wamebirua matokeo ya kutinga nusu fainali kwa kuizaba Paris Saint Germain kwa mabao 6-1 katika mchezo wa marudiano wa Klabu Bingwa Ulaya. Sergi Roberto alifunga bao la 6 kwa mkwaju wa mwisho wa mchezo, na hivyo kufanya matokeo ya jumla kuwa 6-5 kwenye mchezo uliopigwa kwenye dimba la Nou Camp. Barcelona walifunga magoli matatu [&hellip

Arsene Wenger amlaumu refa kwa kipigo cha 5-1.

Arsene Wenger anasema kuwa alikasirishwa na refa baada ya kikosi chake cha Arsenal kilichoonyesha ushujaa kubanduliwa katika mashindano ya kombe la vilabu bingwa Ulaya na Bayern Munich. Refa Anastasios Sidiripoulos aliwanyima Arsenal mkwaju wa penalti wakati walipokuwa 1-0 kabla ya kuwpatia Bayern penalti baada ya Laurent Koscielny kumfanyia Robert Lewandowski madhambi katika lango. Koscielny baadaye [&hellip

Chirwa Afunga Nne, Yanga Yawajeruhi Kiluvya 6-1 Kombe La TFF.

Chirwa Afunga Nne, Yanga Yawajeruhi Kiluvya 6-1 Kombe La TFF.

Yanga SC imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ushindi wa kishindo wa mabao 6-1 dhidi ya Kiluvya United ya Pwani katika mchezo wa kukamilisha hatua ya 16 Bora ya michuano hiyo inayojulikana pia kama Azam Sports Federation Cup (ASFC). Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es [&hellip

FA – kuwaadhibu Ibrahimovic , Mings.

FA – kuwaadhibu Ibrahimovic , Mings.

Mshambuliaji wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic na Beki wa Bournemouth Tyrone Mings wamefunguliwa Mashitaka na chama soka cha England (FA) kwa Mchezo usio wa kiungwana . Wachezaji hao walichezeana faulo mara kwa mara kwenye Mechi ya Jumamosi ligi kuu ya England ambapo timu hizo zilitoka Sare 1-1 katika Uwanja wa Old Trafford ambapo Mings alimchezea [&hellip

Ukata Wamuondoa Pluijm Yanga.

Ukata Wamuondoa Pluijm Yanga.

Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga jana waliachana rasmi na Mkurugenzi wa Ufundi, Mholanzi Hans van Der Pluijm. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo mbalimbali na kuthibitishwa na kocha huyo wazamani wa Yanga, vinasema kuwa, timu hiyo imeachana rasmi naye. Akithibitisha hilo jana, Pluijm alisema Yanga wamemuandikia barua ya kukatisha mkataba wake kutokana na klabu [&hellip

Rwanda Yamteua Mjerumani Kuongoza Timu Ta Taifa.

Rwanda Yamteua Mjerumani Kuongoza Timu Ta Taifa.

Kocha Antoine Hey kutoka Ujerumani ametangazwa na chama cha soka cha Rwanda FERWAFA kuwa mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya Amavubi na ametia kandarasi ya miaka 2. Antoine Hey amewashinda Mswizi Raoul Savoy na Mreno José Rui Lopes Águas . Timu ya taifa ya Rwanda ilikuwa bila mkufunzi tangu kutimuliwa kwa Jonny McKinstry kutoka [&hellip

Mkufunzi wa Barcelona kubwaga manyanga.

Mkufunzi wa Barcelona kubwaga manyanga.

Mkufunzi wa klabu ya Barcelona Luis Enrique ametangaza kwamba atabwaga manyanga mwishoni mwa msimu huu. Enrique atakuwa amehudumu kama meneja wa klabu hiyo kwa misimu mitatu . Aliishindia klabu hiyo kombe la vilabu bingwa na mataji mengine mawili alipojiunga na Barcelona na kuwasaidia kushinda makombe 2 mwaka uliopita. Lakini licha ya klabu hiyo kuongoza katika [&hellip

Yanga Yarudi Njia Kuu.

Yanga Yarudi Njia Kuu.

Yanga jana imerejea kwenye mstari baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mechi ya Ligi Kuu iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Mabingwa hao watetezi wa ligi hiyo, walipata ushindi ikiwa zimepita siku chache baada ya kupoteza mechi dhidi ya watani wa jadi, Simba kwa kufungwa mabao [&hellip

Mshambuliaji wa DR Congo kutocheza kwa wiki sita.

Mshambuliaji wa DR Congo kutocheza kwa wiki sita.

Mshambuliaji wa klabu ya Hull City Dieumerci Mbokani hatocheza kwa kipindi cha wiki sita baada ya kupata jeraha la paja. Mshambuliaji huyo wa DR Congo mwenye umri wa miaka 31 ambaye yuko kwa mkopo katika klabu ya Dynamo Kiev alibadilishwa wakati wa sare ya 1-1 dhidi ya Burnley. Hull pia imethibitisha kuwa jeraha la goti [&hellip