Category: Michezo

Ubelgiji 3-2 Japan.

Ubelgiji 3-2 Japan.

Kila mmoja amewamiminia sifa wachezaji wa sasa wa kikosi cha Ubelgiji huku wakitabiriwa kuponyoka na Kombe la Dunia 2018. Japan ilikaribia kuzamisha ndoto na matumaini ya wachezaji hawa, lakini mwisho wa mchezo, Ubelgiji imedhihirisha kwa nini jina lao linawaacha wapinzani wake bila usingizi. Ubelgiji imekuwa timu ya kwanza kutoka nyuma mabao mawili au zaidi na [&hellip

Urusi yaitupa nje  Uhispania kwa mikwaju ya penati.

Urusi yaitupa nje Uhispania kwa mikwaju ya penati.

Urusi ilipata uungwaji mkono wa Rais Vladimr Putin kabla ya mechi yao ya Kombe la Dunia ambapo ilipata ushindi dhidi ya Uhispania. Putin alimpigia simu kocha wa Urusi Stanislav Cherchesov kabla ya Urusi kuwashinda mabingwa hao wa kombe la Dunia la mwaka 2010 kwa mikwaju wa penalti. “Kabla ya mechi saa za mchana, Rais Putin [&hellip

Afrika nje ya Kombe la Dunia.

Afrika nje ya Kombe la Dunia.

Ni Kombe la Dunia, lakini kwa Afrika, bara litakuwa bila mwakilishi huku wenzao wakiendelea na safari ya kusaka ubingwa wa Kombe hilo. Kabla ya ngarambe hizi, nafasi 5 zilizotengewa Afrika zilijazwa na: Misri Morocco Tunisia Nigeria Senegal Lakini ni machungu kwa bara hili kwani matumaini ya mwisho, Senegal, imeliaga Kmbe baada ya kutapatapa dhidi ya [&hellip

Ujerumani watupwa nje ya Kombe la Dunia.

Ujerumani watupwa nje ya Kombe la Dunia.

Baada ya kuwaliza mbele ya mashabiki wa nyumbani wakiwa wenyeji wa Kombe la Dunia 2002, Ujerumani nayo imepata kuhisi uchungu wa kutolewa Kombe la Dunia. Mabao ya Son Heung-min dakika ya 96 na Kim Young-gwon dakika ya 91 yametosha kuidhalilisha Ujerumani na kuitema kutoka Dimba la Dunia. Aidha, Ujerumani yenye mazoea ya kuwadunisha wengine, imeadhibiwa [&hellip

Argentina yaitupa nje Nigeria kombe la dunia kwa ushindi wa 2-1.

Argentina yaitupa nje Nigeria kombe la dunia kwa ushindi wa 2-1.

Mkwaju wa Marcos Rojo katika dakika za majeruhi ndiyo ulioziumiza roho za waafrika wengi na kupeleka furaha kwa wa Argentina wakivuka kwa shangwe kuelekea katika hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia la 2018. Kama si mlinzi wa Manchester United Rojo kusogea katika eneo la hatari la Nigeria na kuupokea mpira uliopigwa na Gabriel [&hellip

Poland 0-3 Colombia.

Poland 0-3 Colombia.

Poland ilianza mchuano kwa kasi na pupa. Pasi baada ya nyingine, mkwaju baada ya mwingine. Hata hivyo ngome ya Colombia ikiongozwa na beki wa Barcelona Yerry Mina iliwazima. Baada ya dakika 90, Poland walionyesha hisia za kuvunjika kwa moyo na matumaini. Ukuta wa Colombia, Yerry Mina alidhihirisha ujumuishaji wake kikosini alipoipa Colombia uongozi kabla ya [&hellip

Ahmed Musa awapa Nigeria ushindi wa 2-0 dhidi ya Iceland Kombe la Dunia 2018.

Ahmed Musa awapa Nigeria ushindi wa 2-0 dhidi ya Iceland Kombe la Dunia 2018.

Nigeria wamewashinda Iceland 2-0 na kuandikisha ushindi wao wa kwanza katika Kombe la Dunia Urusi. Awali Brazil waliwacharaza Costa Rica 2-0. Baada ya kipenga cha mwisho kupulizwa uwanja wa Volgograd Arena, mashabiki wa soka Afrika waliungana kusherehekea ushindi huo wa kihistoria wa Nigeria. Furaha zilizoletwa na Senegal siku chache zilizopita zikionekana kusahaulika. Magoli mawili ya [&hellip

Croatia yaidhalilisha Argentina Kombe la Dunia Russia.

Croatia yaidhalilisha Argentina Kombe la Dunia Russia.

Timu ya taifa ya soka ya Croatia jana usiku iliidhalilisha Argentina na nyota wake mkubwa, Lionel Messi, baada ya kuichabanga magoli matatu kwa sifuri katika uwanja wa Nizhny Novgorod. Matokeo hayo yameipatia timu ya taifa ya Croatia tiketi ya kuingia duru ya pili ya mashindano hayo yanayoendelea nchini Russia. Hii ni mara ya kwanza wa [&hellip

Nani atafuzu kutoka Kundi A?.

Nani atafuzu kutoka Kundi A?.

Baada ya kuilaza Misri 3-1, Russia imekaribia kuingia hatua ya timu 16 za mwisho. Ushindi wa Uruguay dhidi ya Saudi Arabia kesho inamaanisha Misri itaelekea nyumbani. Wenyeji Russia na Uruguay watafuzu kwa hatua ya timu 16 za mwisho. Hata iwapo Saudi Arabia itashinda, magoli ya Russia yanatosha kuiwezesha kufuzu. Hali itasalia hivi hadi tu pale [&hellip

Senegal Yaanza Vizuri Kombe La Dunia, Yaichapa Poland 2-1.

Senegal Yaanza Vizuri Kombe La Dunia, Yaichapa Poland 2-1.

Senegal imekuwa timu ya kwanza toka Afrika kushinda katika mchezo wake wa kwanza kombe la dunia dhidi ya Poland kwa goli 2-1 Senegal ilikuwa ya kwanza kupata goli dakika ya 37 ya mchezo kupitia kwa Thiago Cionek na dakika ya 60 Mbaye Niang aliifungia Senegal goli la pili lililodumu hadi dakika ya 86 ambapo poland [&hellip