Category: Michezo

Porto sio moto kwa Man City

Porto sio moto kwa Man City

Kwa mara nyingine tena Sergio aonyesha uhodari wa kuifungia City mabao Kwa mara nyingine tena Sergio Aguero aligonga vichwa vya habari wakati Manchester City ilipothibitisha ni bora zaidi kwa kuilaza Porto magoli mengi na kuwa miongoni mwa timu 16 ambazo zimesalia kwa hatua itakayofuata ya ligi ya Europa, wakati Jumatano jioni ilipowafunga 4-0 (kwa jumla [&hellip

Kiingilio Stars, DRC Sh. 2,000

Kiingilio Stars, DRC Sh. 2,000

Afisa Habari wa TFF, Boniface Wambura Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza kiingilio poa cha Sh. 2,000 kuwa ndicho kitakachokuwa cha chini katika mechi kali ya kimataifa ya kirafiki baina ya timu ya taifa, ‘Taifa Stars’ na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) itakayochezwa keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa jihjini Dar es Salaam. Akitangaza viingilio [&hellip