Category: Michezo

Kaburu Mgonjwa Keko.

Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba, Geofrey Nyange maarufu Kaburu, jana alishindwa kufi ka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam kwa kuwa anaumwa mahabusu ya Keko. Taarifa hiyo ilitolewa mahakamani na Mwendesha Mashitaka Mwandamizi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (Takukuru), Leonard Swai. Swai alidai jana mbele ya Hakimu Mkazi [&hellip

Panucci Apewa kazi Ya Kuinoa Albania.

Chama cha soka cha nchini Albania (AfA) kimemteua beki wa zamani wa timu ya taifa ya Italia Christian Panucci kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya nchi hiyo. Panucci anachukua mikoba ya kocha wa zamani wa taifa hilo Gianni De Biasi,ambae alijiuzulu mwezi uliopita. Raisi wa chama hicho cha soka Armand Duka amesema kazi [&hellip

Neymar Haondoki Barcelona.

Mshambuliaji wa Barcelona Neymar, 25, amekubali dau la Paris Saint-Germain, baada ya klabu hiyo ya Ufaransa kuwa tayari kutoa pauni milioni 195. Makamu wa rais wa Barcelona Jordi Mestre amesisitiza kuwa Neymar hatoondoka Barcelona wakati wowote ule. Mtaalam wa soka wa Amerika ya kusini Tim Vickery amesema Neymar huenda akaondoka Barcelona ili kuepuka kuwa chini [&hellip

Wakaso atua Alaves, West Brom yamsajili Hegazi.

Mchezaji wa kimataifa wa Ghana Mubarak Wakaso amesaini mkataba wa miaka mitatu kujiunga na klabu ya Alaves ya nchini Hispania. Mchezaji huyu amejiunga na timu hiyo akitokea Panathinaiko ya Ugiriki, Wakaso anauzoefu wa ligi ya Hispania la Liga, ambapo aliwahi kuvichezea vilabu vya Granada, Las Palmas, Espanyol, Villareal na Elche. Nayo klabu ya West Bromwich [&hellip

Stars Yajiweka Pabaya.

Stars Yajiweka Pabaya.

Timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars jana ilijiweka vibaya kwenye harakati za kufuzu kombe la mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Rwanda katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba mjini hapa. Matokeo yanaiweka pabaya Stars kwani sasa ili kufuzu inahitaji ushindi wowote katika mechi [&hellip

Yannick Bolassie apata makaribisho ya aina yake Tanzania.

Yannick Bolassie apata makaribisho ya aina yake Tanzania.

Mchezaji wa Everton Yannick Bolasie alipata mapokezi ya aina yake nchini Tanzani wakati timu hiyo ilipowasili katika uwanja wa ndege wa Dar es Salaam nchini Tanzania kwa mechi ya kirafiki. Winga huyo wa Everton ambaye ni raia wa DR Congo na ameifungia nchi yake mabao 8 na kuichezea mara 31, alipokewa na mashabiki wake kwa [&hellip

Michael Carrick achaguliwa nahodha wa Man United.

Klabu ya Manchester United imemchagua kiungo wake wa kati Michael Carrick kama nahodha wa klabu hiyo. Carrick mwenye umri wa miaka 35 ndio mchezaji aliyeichezea Man United kwa kipindi kirefu ,baada ya kujiunga na United 2006 na anachukua mahale pake Wayne Rooney ambaye amehamia klabu ya Everton. ”Nahisi vyema ni fursa kubwa kuiongoza uwanjani timu [&hellip

Rooney Ajiunga Na Everton Miaka 13 Tangu Aihame Klabu Hiyo.

Mshambuliaji wa Manchester United na mshikilizi wa rekodi ya mabao Wayne Rooney amejiunga na Everton, miaka 13 tangu akihame klabu hiyo. Rooney mwenye umri wa miaka 31 alichezea Manchester United mara 559 akifunga mabao 253. Alishinda ligi tano za Primia tangu aihame Everton kwa pauni milioni 27 mwaka 2004. “Ninahisi vizuri kurudi, sitangoja kukutana na [&hellip

Taifa Stars Ya Tatu Cosafa.

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetwaa medali ya shaba baada ya kuifunga kwa penalti Lesotho katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu katika Kombe la Cosafa. Mchezo huo ilibidi bingwa apatikane kwa penalti baada ya timu hizo kutoka suluhu katika dakika 90 za kawaida. Kwa ushindi huo, Taifa Stars imepata dola za Kimarekani [&hellip

Per Mertesacker: Nahodha Wa Arsenal Kustaafu Mwaka Ujao.

Nahodha wa Arsenal Per Mertesacker ametangaza kwamba atastaafu mwisho wa msimu wa 2017-18 na kuwa msimamizi wa akademi ya klabu hiyo. Beki huyo alijiunga na Arsenal kutoka Werder Bremen Agosti 2011 lakini aliwachezea mechi mbili pekee msimu uliopita kutokana na majeraha. Arsenal wametangaza kwamba ataanza kufanya kazi na akademi ya klabu hiyo kumuandaa kwa majukumu [&hellip