Category: Bidha Mpya
Toleo la kitabu kipya
Kwa sasa kitabu hiki kinapatikana katika duka la vitabu la Al-Itrah Foundation lililopo Dar es Salaam na ni chapa ya Kiingereza tu. Kwa wale wote wenye nia ya kukihitaji kitabu hiki tafadhali wasiliana nasi kupitia barua pepe alitrah@raha.com au simu  
Mpya Kuwasili ya vitabu
Al Itrah imezindua seti ya vitabu tano mpya katika Kiswahili kwa 15,500 / – Sahifa Sajjadia Umoja Wa Kiislamu Na Furaha Uislamu Na Mifumo Ya Uchumi Sira ya Imam Ali Kuhusiana na Waasi Hayya ‘Alaa Khayri ‘L-’ Amal Katika Adhana Set ya Vitabu tano
Kalenda yake ya kiislamu 1434
Al-Itrah Foundation imechapisha Kalenda ya Kiislamu kwa mwaka 1434. Mandhari ni msingi unabii kutoka Qur’an.  
Qur’ani Tukufu
Qur’an tukufu iliyotafsiriwa kwa lugha ya kiswahili, sasa inapatikana katika Duka la vitabu la Al-Itrah Foundation kwa gharama ya shs 13000/- tu, ni fursa kubwa kutoa ufadhili wa Mas-hafu hii iliyofasiriwa kwa kiswahili ili isambazwe kwa wasomaji Afrika Mashariki kwa niaba ya Marehemu wako. Bonyeza hapa ili kuona picha zingine
Mwamko wa watu wanaodhulumiwa Bahrain
Punde baada ya kuanza wimbi la mwamko wa Kiislamu, wananchi Waislamu wa Bahrain nao pia mnamo Februari 14 mwaka 2011 walianza mwamko katika mji mkuu wa nchi hiyo Manama. Mwamko huo ulienea katika miji mingine ya nchi hiyo. Tokea Bahrain ipate uhuru mwaka 1970 hadi sasa, nchi hiyo imekuwa na miamko kadhaa ya wananchi dhidi
Wanasiasa Tanzania watofautiana kuhusu tamko la Rais Kikwete
Wanasiasa Tanzania watofautiana kuhusu tamko la Rais Kikwete la kupinga mjadala kuhusu muungano Na: Salim Swaleh Waziri wa Sheria na Masuala ya Katiba wa Tanzania, Celina Kombani amesema kuwa anaunga mkono tamko la Rais Jakaya Kikwete kwamba maoni ya kuvunjwa muungano hayatapewa umuhimu na tume ya kuandaa rasimu ya katiba mpya. Akizungumza na Radio Tehran
as-Sahifat-ul-Kamilah as-Sajjadiyyah
Hivi punde as-Sahifat-ul-Kamilah as-Sajjadiyyah Kitabu cha dua cha Imam Ali bin Husein bin Abi Talib (as), maarufu hujulikana kama Imam Zainul Abideen (as). Hiki kitabu cha dua cha kipekee muda mfupi kitapatikana kupitia Al itrah Eoundation katika lugha ya kiarabu pamoja na tafsiri ya kiswahili. Tafadhali wasiliana na Al-Itrah Foundation kwa barua pepe: alitrah@raha.com kwa
JK kuongoza kuuaga mwili wa Sumari
Rais Jakaya Kikwete, leo anatarajia kuongoza wakazi wa Jiji la Dar es Salaam katika kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Jeremiah Sumari, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa. Sumari, alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa sarataniya ubongo na kabla ya





