Category: Makala

Hisia tofauti za kimataifa kuhusu matukio ya Misri

Hisia tofauti za kimataifa kuhusu matukio ya Misri

Mohammad Mursi, rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia na wananchi wa Misri aliondolewa madarakani Jumatano na jeshi la nchi hiyo kufuatia maandamano makubwa dhidi ya serikali. Punde baada ya hapo Mursi mwenyewe na idadi kubwa ya viongozi wa Ikwanul Muslimin walitiwa mbaroni. Matukio hayo ya Misri yameibua hisia mseto kimataifa. Masaa machache baada ya kutimuliwa Mursi [&hellip

Tafakari

Tafakari

Tafakari Suala # 10 Juni 2011 Tafakari ni maono muhimu ya kumfikirisha mtu katika masuala ya kila siku ambayo ni ya kiroho na yenye kuathiri maendeleo ya waumini. Waumini huendelea kuongezeka, sawa na mti ulivyoelezewa ndani ya Quran, sawa na mbegu izalishayo ambayo huwendelea kuchipua, kisha ikajiimarisha, hivyo inakuwa ni migumu na husimama imara juu [&hellip

UKIMWI

UKIMWI

UKIMWI Karibuni katika sehemu hii nyingine ya mfululizo wa makala za Ijue Afya Yako ambapo hapa tutajadili kwa ufupi kuhusu ugonjwa angamizi wa UKIMWI. Kama mnavyojua hadi hii leo haujapata tiba licha ya juhudi kubwa za wataalamu kutoka pembe mbalimbali duniani za kutafuta tiba dhidi ya maradhi hayo. ************************* HIV ni ufupisho wa Human Immuno [&hellip

Upungufu wa Damu (ANAEMIA)

Upungufu wa Damu (ANAEMIA)

Upungufu wa Damu (ANAEMIA) Hii ni sehemu nyingine ya mfululizo wa makala za Ijue Afya Yako. Juma hili nitazungumzia Anaemia au upungufu wa damu ambao umekuwa tatizo kwa jamiii mbalimbali ulimwenguni, khususan katika nchi zetu za Kiafrika. Ni matumaini yetu kuwa mtafadika na yale yote niliyokuandalieni.               Anaemia ni [&hellip

Athari za Vita kwa Watoto

Athari za Vita kwa Watoto

Athari za Vita kwa Watoto Karibuni wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Juma hili tutatupia jicho athari za vita kwa watoto. Tutaanglia kiujumla namna watoto wanavyoathirika kimwili na kiakili kutokana na athari za moja kwa moja au zisizokuwa za moja kwa moja za matukio yaliyojiri na yale yanayoendelea kushuhudiwa [&hellip

Malaria

Malaria

Malaria Hii ni sehemu nyingine ya mfululizo wa makala za Ijue Afya Yako mfululizo ambao huchunguza masuala mbalimbali ya afya ya jamii. Leo tutazungumzia ugonjwa wa Malaria ambao umekuwa tishio kubwa na kusababisha vifo vingi ulimwenguni, khususan katika nchi za Kiafrika, vifo ambavyo zaidi huwaandama watoto walio na umri chini ya miaka mitano, licha ya [&hellip

Iran katika Upeo wa Sayansi

Iran katika Upeo wa Sayansi

Iran katika Upeo wa Sayansi Huu ni mfululizo wa makala zinazoangazia ustawi na maendeleo ya kielimu na kisayansi nchini Iran. Kila siku Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hushuhudia ubunifu na uvumbuzi wa wasomi na watafiti vijana katika taaluma mbali mbali za sayansi za jamii, sayansi asilia na umbile, sayansi tumizi, bioteknolojia na nyanja nyinginezo za [&hellip

Ustawi wa Iran katika Uga wa Sayansi Msingi

Ustawi wa Iran katika Uga wa Sayansi Msingi

Ustawi wa Iran katika Uga wa Sayansi Msingi Katika makala iliyopita, tulisema kuwa, kabla ya Mapinduzi ya Kiislamu, Iran haikuwa ikizingatia kwa kina masuala ya sayansi, teknolojia wala utafiti. Lakini hivi sasa miaka 30 baada ya ushindi wa Mapinduzi, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imechukua nafasi ya juu duniani katika setka mbali mbali za sayansi. [&hellip

Umuhimu wa elimu katika Uislamu

Umuhimu wa elimu katika Uislamu

Umuhimu wa elimu katika Uislamu Katika Uislamu elimu na masomo yamepewa umuhimu mkubwa sana. Aya ya kwanza ya Quran Tukufu imesisitiza kuhusu elimu na masomo na umuhimu wa kalamu. Umuhimu huu ni mkubwa kiasi kwamba Uislamu unasema ni faradhi au lazima kwa Muislamu mwanaume na mwanamke kutafuta elimu. Riwaya za Kiislamu pia zinamuusia mwanaadamu kutafuta [&hellip

Mimba na Uzazi

Mimba na Uzazi

Mimba na Uzazi Wanawake wenye mimba Mimba inaweza kutungwa iwapo mwanamke au msichana aliyekaribu umri wa kupata hedhi, ama anaepata hedhi, atafanya ngono na mwanamme pasi na kutumia mbinu yoyote ya kuzuia mimba. La kusikitisha ni kwamba hilo linaweza kumtokea hata msichana mdogo aliye na umri wa miaka 9 au 10. Kwa hivyo elimu ya [&hellip