Shafiq Batambuze asaini miaka miwili na mabingwa wa Kenya.


Beki wa Kushoto wa zamani wa klabu ya Singida United Shafiq Batambuze amesaini miaka miwili kujiunga na Mabingwa wa SOka nchini kenya Gor Mahia.
Shafiq Batambuze anachukua nafasi ya Mganda Mwenzake Godfrey Walusimbi ambaye alisajiliwa na Kaizer Chief ya Afrika Kusini.
Batambuze Pia amewahi kucheza ligi ya Kenya kabla ya kujiunga na Singida United akicheza katika Klabu ya Tusker Fc.

Leave a Comment