Semina kuhusu Mafunzo ya Uwanahabari – 18 Jan 2010


Warsha ya pili kuhusu Uwanahabari

Imeandaliwa na Sheikh Abdilahi Nassir

Warsha hii ilikuwa ni muendelezo juu ya mafunzo ya awali kuhusu vyombo vya habari ambayo ilifanyika mwezi Desemba 2009 na washiriki walikuwa 47. Warsha hiyo iliwezeshwa na Nyota Foundation pamoja na Alitrah Foundation tarehe 18 Jan 2010.

Sheikh Abdilahi Nassir aliendesha semina hiyo kisha baadayei Haj Muhsin Nathani alipewa nafasi ya kuchangia uzoefu wake katika suala zima habari.

Aidha, utangulizi huo ulifuatiwa na suala zima la sera kuu ya kuzalisha na kuandaa maudhui kwa ajili ya Redio Maarifa na Runinga ya Ibn. (Ibn – TV)

Katika semina hii mgeni msemaji alikuwa Sheikh Abdilahi Nassir kutoka Kenya ambaye aliwasilisha Amazon yake na uzoefu wake kwa kushirikiana na wanasemina waliohudhuria (muballighina).

Aidha, Warsha hii ilianza kwa ufunguzi wa Qur’an Tukufu iliyosomwa na: Sheikh Saeed Mussa. Kisha ukaribishaji wa wanasemina uliyowasilishwa na al-Haj Muhsin Nathani sambamba na mawazo ya wanachama na sera kuu ya uzalishaji wa timu nzima:

Leave a Comment