Picha za IBN

Radio Maarifa

Maonesho Maalumu»

Empower, Educate and Inspire

Empower, Educate and Inspire

March 11, 2016 9:09 AM
Brand new episode of Empower, Educate and Inspire hosted by Fatema Zubeda will feature Tania Hamilton; the Co Founder of Nabaki Africa. The show will air on Sunday 13th...
 • Superheros
  Superheros
  Language Not available
  on January 3, 2015 8:22 AM
 • New Episode: Racism
  New Episode: Racism
  Watch a brand new episode of the kids show on IBNTV and find out how Racism affects children especially in school.
  on October 11, 2014 6:32 AM
 • Health Show – Stroke
  Health Show – Stroke
  Dear viewers, we are moving the HEALTH IN PERSPECTIVE program to Saturday for this week only. The episode will...
  on July 18, 2014 1:13 PM

Mhadhara»

Ayyame Fatimiya

Ayyame Fatimiya

March 21, 2015 9:56 AM
Special Ayyame Fatimiya program to air on IBN TV.
 • Lectures on Ashre Zainabiyya
  Lectures on Ashre Zainabiyya
  Lectures for Ashre Zainabiyya 1436 by Syed Zaki Baqri  airs  on IBN TV everyday at 21:15 Hrs.
  on December 8, 2014 7:50 AM
 • English Lectures
  English Lectures
  Latest Muharram 1436 Lectures of Syed Ammar Nakhswani reciting in Mombasa, Kenya airs  on IBN TV everyday at 23:00...
  on November 1, 2014 7:06 AM
 • English Lectures
  English Lectures
  IBNTV will be featuring English lectures by Sheikh Nuru from  tonight at 20:00 Hrs.
  on October 28, 2014 7:47 AM

Mengineyo»

Kipindupindu Chaua Watu 45 Zanzibar.

Kipindupindu Chaua Watu 45 Zanzibar.

April 28, 2016 8:08 AM
  Watu zaidi ya 45 wamefariki kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu visiwani Zanzibar katika kipindi cha miezi miwili, shirika la habari la AP limeripoti. Shirika...

Bidha Mpya»

The Ascendant Qur’an Book

The Ascendant Qur’an Book

July 19, 2013 7:59 AM
 • Islamic Calendar 1435
  Islamic Calendar 1435
    Islamic Calendar 1435 is now available in English & Kiswahili at Al -Itrah Bookshop
  on July 19, 2013 7:57 AM
 • Toleo la kitabu kipya
  Toleo la kitabu kipya
  Kwa sasa kitabu hiki kinapatikana katika duka la vitabu la Al-Itrah Foundation lililopo Dar es Salaam na ni chapa...
  on November 19, 2012 7:09 AM
 • Mpya Kuwasili ya vitabu
  Mpya Kuwasili ya vitabu
  Al Itrah imezindua seti ya vitabu tano mpya katika Kiswahili kwa 15,500 / - Sahifa Sajjadia Umoja Wa Kiislamu...
  on October 30, 2012 12:13 PM

Habari za Kitaifa»

‘Bodi Nyingi Za Mazao Ni Majipu.’

‘Bodi Nyingi Za Mazao Ni Majipu.’

May 5, 2016 8:05 AM
  Serikali imetangaza uwezekano wa kufuta bodi zote za mazao ya biashara zitakazoshindwa kuainisha uhalali wa uwepo wake na kuanzisha bodi moja itakayosimamiwa na watendaji...

Habari za Kimataifa»

Waziri Mkuu Wa Uturuki Kujiuzulu.

Waziri Mkuu Wa Uturuki Kujiuzulu.

May 5, 2016 1:15 PM
  Waziri mkuu nchini Uturuki Ahmet Davutoglu atajiuzulu katika kikao kisicho cha kawaida cha chama chake baadaye mwezi huu. Ripoti zinasema kikao hicho kitafanyika tarehe...

Makala Mpya

Zimbabwe Kuanzisha Dola Kama Za Marekani.

Zimbabwe Kuanzisha Dola Kama Za Marekani.

  Taifa la Zimbabwe linatarajiwa kuchapisha dola zake kama zile za Marekani ili kukabiliana na upungufu wa fedha nchini humo. Gavana wa benki kuu nchini humo John Mangudya amesema kuwa fedha hizo zinazojulikana kama fedha za dhamana zitafadhiliwa na dola milioni 200 kutoka kwa benki ya kuagiza na kuuza nje ya Afrika. Noti hizo za [&hellip

Waziri Mkuu Wa Uturuki Kujiuzulu.

Waziri Mkuu Wa Uturuki Kujiuzulu.

  Waziri mkuu nchini Uturuki Ahmet Davutoglu atajiuzulu katika kikao kisicho cha kawaida cha chama chake baadaye mwezi huu. Ripoti zinasema kikao hicho kitafanyika tarehe 22 mwezi Mei baada ya Davutoglu kufanya mazungumzo na viongozi wa chama. Uvumi kuhusu kujiuzulu kwake umekuwa ukiendelea tangu Davutoglu kukutana na rais Reccep Tayyip Erdogan siku ya Jumatano. Anadaiwa [&hellip

Uganda Yapiga Marufuku Matangazo Ya Moja Kwa Moja.

Uganda Yapiga Marufuku Matangazo Ya Moja Kwa Moja.

    Serikali ya Uganda imepiga marufuku matangazo ya moja kwa moja yanayopinga uchaguzi wa rais Yoweri Museveni. Usalama katika mji mkuu umeimarishwa kabla ya maandamano yalioitishwa na chama cha Forum for Democratic Change . Wiki iliopita agizo la mahakama lilipiga marufuku kampeni za chama hicho. Mahakama ya juu nchini Uganda iliunga mkono uchaguzi wa [&hellip

Mwanamke Atolewa Hai Kwenye Vifusi Nairobi.

Mwanamke Atolewa Hai Kwenye Vifusi Nairobi.

  Mwanamke ametolewa akiwa hai kutoka kwenye vifusi siku sita baada ya jumba kuporomoka katika mtaa wa Huruma, Nairobi. Juhudi za uokoaji bado zinaendelea ingawa kuna wasiwasi kwamba muda wa kupata manusura wakiwa hai unayoyoma. Kwa mujibu wa Pius Masai, mkuu wa kitengo cha taifa cha kukabiliana na majanga, idadi ya waliofariki kufikia sasa imefikia [&hellip

Amir Khan: Sina Nguvu Za Kumuumiza Alvarez.

Amir Khan: Sina Nguvu Za Kumuumiza Alvarez.

    Bondia Amir Khan amekiri kwamba hana nguvu za kumjeruhi Saul Canelo Alvarez katika pigano lao la WBC uzani wa kati mjini Las Vegas siku ya Jumamosi. Hatahivyo raia huyo wa Uingereza amesema kuwa kasi yake ndio itakayoshinda pigano hilo. Amir Khan mwenye umri wa miaka 29 ataruka mizani miwili ili kukabiliana na Alvarez [&hellip

Kiongozi wa Upinzani DRC Atangaza Rasmi Kugombea Urais.

Kiongozi wa Upinzani DRC Atangaza Rasmi Kugombea Urais.

  Moise Katumbi, kiongozi mashuhuri wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC ametangaza rasmi nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi wa mwezi Novemba.   Rais wa sasa Joseph Kabila anatakiwa kuachia ngazi wakati huu kwa mujibu wa katiba lakini wapinzani wake wanasema anapanga njama ya kuendelea kubakia madarakani.   Tangazo la Katumbi [&hellip

Wabunge wa Afrika Kusini watandikana juu ya hotuba ya Zuma

Wabunge wa Afrika Kusini watandikana juu ya hotuba ya Zuma

Maafisa wa usalama wa bunge waliokuwa wamevalia nguo za kawaida walilazimika kuingilia kati na kuwatoa nje wabunge wa chama cha upinzani cha Economic Freedom Fighters kinachoongozwa na Julius Malema, waliokuwa wakipiga makelele na kusema kuwa hawamtambui Zuma kama rais wa nchi. Floyd Shivambu, Naibu Rais wa chama hicho aliliambia bunge hilo chini ya kiwingu cha [&hellip

‘Bodi Nyingi Za Mazao Ni Majipu.’

‘Bodi Nyingi Za Mazao Ni Majipu.’

  Serikali imetangaza uwezekano wa kufuta bodi zote za mazao ya biashara zitakazoshindwa kuainisha uhalali wa uwepo wake na kuanzisha bodi moja itakayosimamiwa na watendaji pekee, baada ya kubainika kuwa bodi hizo nyingi zimejaa wizi na ufisadi.   Aidha, imetangaza kuondoa rasmi ushuru wa magetini kutokana na kutoa mianya ya rushwa pasipo na tija, huku [&hellip

Azam Yaipa Raha Yanga.

Azam Yaipa Raha Yanga.

  Timu  ya soka ya Azam FC imeiweka Yanga katika mazingira mazuri zaidi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya jana kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya JKT Ruvu. Mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Dar es Salaam, umeifanya Yanga kuwa na kazi rahisi zaidi katika mbio zake za [&hellip

Sakata La Bei Ya Sukari Laibuka Tena Bungeni.

Sakata La Bei Ya Sukari Laibuka Tena Bungeni.

    Sakata  la kupanda kwa bei ya sukari limeibuka tena bungeni na safari hii Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM) ameomba mwongozo wa kutaka Kikao cha Bunge kiahirishwe ili kujadili suala hilo la dharura.   Akitumia kifungu cha Kanuni za Bunge cha 47(1, 2, 3), mbunge huyo alisema bungeni mjini hapa jana, kuwa [&hellip