Picha za IBN

Slider by IWEBIX

Radio Maarifa

Maonesho Maalumu»

Empower, Educate and Inspire

Empower, Educate and Inspire

March 11, 2016 9:09 AM
Brand new episode of Empower, Educate and Inspire hosted by Fatema Zubeda will feature Tania Hamilton; the Co Founder of Nabaki Africa. The show will air on Sunday 13th...
 • Superheros
  Superheros
  Language Not available
  on January 3, 2015 8:22 AM
 • New Episode: Racism
  New Episode: Racism
  Watch a brand new episode of the kids show on IBNTV and find out how Racism affects children especially in school.
  on October 11, 2014 6:32 AM
 • Health Show – Stroke
  Health Show – Stroke
  Dear viewers, we are moving the HEALTH IN PERSPECTIVE program to Saturday for this week only. The episode will...
  on July 18, 2014 1:13 PM

Mhadhara»

Ayyame Fatimiya

Ayyame Fatimiya

March 21, 2015 9:56 AM
Special Ayyame Fatimiya program to air on IBN TV.
 • Lectures on Ashre Zainabiyya
  Lectures on Ashre Zainabiyya
  Lectures for Ashre Zainabiyya 1436 by Syed Zaki Baqri  airs  on IBN TV everyday at 21:15 Hrs.
  on December 8, 2014 7:50 AM
 • English Lectures
  English Lectures
  Latest Muharram 1436 Lectures of Syed Ammar Nakhswani reciting in Mombasa, Kenya airs  on IBN TV everyday at 23:00...
  on November 1, 2014 7:06 AM
 • English Lectures
  English Lectures
  IBNTV will be featuring English lectures by Sheikh Nuru from  tonight at 20:00 Hrs.
  on October 28, 2014 7:47 AM

Mengineyo»

Tume Ya Mufti: Wafichueni Waliopora Mali Za Waislamu.

Tume Ya Mufti: Wafichueni Waliopora Mali Za Waislamu.

September 13, 2016 6:51 AM
Tume ya Mufti wa Tanzania imewaomba watu wote wenye taarifa au nyaraka zozote kuhusu mali za waislamu, ambazo ziko chini ya usimamizi na umiliki wa Baraza Kuu la Waislamu...

Bidha Mpya»

The Ascendant Qur’an Book

The Ascendant Qur’an Book

July 19, 2013 7:59 AM
 • Islamic Calendar 1435
  Islamic Calendar 1435
    Islamic Calendar 1435 is now available in English & Kiswahili at Al -Itrah Bookshop
  on July 19, 2013 7:57 AM
 • Toleo la kitabu kipya
  Toleo la kitabu kipya
  Kwa sasa kitabu hiki kinapatikana katika duka la vitabu la Al-Itrah Foundation lililopo Dar es Salaam na ni chapa...
  on November 19, 2012 7:09 AM
 • Mpya Kuwasili ya vitabu
  Mpya Kuwasili ya vitabu
  Al Itrah imezindua seti ya vitabu tano mpya katika Kiswahili kwa 15,500 / – Sahifa Sajjadia Umoja Wa Kiislamu...
  on October 30, 2012 12:13 PM

Habari za Kitaifa»

Mamia wajitokeza uzinduzi wa flyover Tazara.

Mamia wajitokeza uzinduzi wa flyover Tazara.

September 27, 2018 8:36 AM
Dar es Salaam. Mamia ya wananchi wamejitokeza kwenye sherehe za uzinduzi wa daraja la juu ‘flyover’ la Mfugale lililopo katika eneo la Tanzara jijini Dar es salaam. Daraja...

Habari za Kimataifa»

Rais Museveni atembelea maeneo yaliyokumbwa na maporomoko.

Rais Museveni atembelea maeneo yaliyokumbwa na maporomoko.

October 16, 2018 7:28 AM
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda ametembelea maeneo yaliyokumbwa na janga la maporomoko ya udongo masharikki mwa Bududa katika Wilaya ndogo ya Bukalasi. Rais Museveni...

Makala Mpya

Rais Museveni atembelea maeneo yaliyokumbwa na maporomoko.

Rais Museveni atembelea maeneo yaliyokumbwa na maporomoko.

Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda ametembelea maeneo yaliyokumbwa na janga la maporomoko ya udongo masharikki mwa Bududa katika Wilaya ndogo ya Bukalasi. Rais Museveni akiwa amevaa magwanda ya kijeshi ameyatembelea maeneo hayo hasa kando kando ya Mto Sume katika kijiji cha Wanjenwa ambacho kiliharibiwa vibaya baada ya maroromoko ya udongo kutokea Alkhamisi iliyopita. Rais [&hellip

Bomba La Mafuta Lalipuka Huko Abia Nigeria Waliofariki Wafikia 60.

Bomba La Mafuta Lalipuka Huko Abia Nigeria Waliofariki Wafikia 60.

Shirika la habari la Reuters jana usiku liliripoti kuhusu kuongezeka idadi ya wahanga wa mlipuko wa bomba la mafuta ya petroli uliotokea mashariki mwa jimbo la Abia nchini Nigeria Ijumaa iliyopita. Bomba hilo la kupitishia mafuta la Shirika la Taifa la Mafuta la Nigeria katika jimbo la Abia Ijumaa iliyopoita liliripuka na kisha kuwaka moto. [&hellip

Saudia yashambulia basi la wakimbizi wa Yemen, yaua 17 kati yao.

Saudia yashambulia basi la wakimbizi wa Yemen, yaua 17 kati yao.

Ndege za kivita za Saudi Arabia zimeshambulia basi lililokuwa limebeba wakimbizi wa Yemen katika eneo la Jabal Raas katika mkoa wa al Hudaydah na kuua 17 kati yao. Vyombo vya habari vya Yemen vimeripoti kuwa, raia wengine 20 wamejeruhiwa katika shambulizi hilo la mabomu la ndege za kivita za Saudia. Habari zinasema kuna uwezekano mkubwa [&hellip

Idadi ya vifo katika miripuko wa Somalia yaongezeka.

Idadi ya vifo katika miripuko wa Somalia yaongezeka.

Idadi ya wahanga wa mashambulio mawili ya kujiripua kwa mabomu iliyotokea kusini magharibi mwa Somalia wameongezeka. Taarifa zinasema kuwa watu 20 wamepoteza maisha na wengine 40 wamejeruhiwa katika miripuko hiyo miwili iliyopishana kwa dakika chache tu. Afisa mmoja wa polisi ya Baidoa, Abdulahi Mohamed amesema kuwa, mashambulizi hayo ya kigaidi yamelenga eneo lenye raia wengi [&hellip

Wapalestina 6 wauliwa shahidi.

Wapalestina 6 wauliwa shahidi.

Wapalestina wasiopungua sita wameuliwa shahidi na wengine zaidi ya 190 wamejeruhiwa katika Ijumaa ya 29 ya maandamano ya “Haki ya Kurejea” yaliyofanyika kwa kaulimbiu ya “Intifadha ya Quds” huko Ukanda wa Gaza Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewalenga na kuwafyatulia risasi za [&hellip

UN: Kundi la wanamgambo la Nigeria lamewaachia watoto 833.

UN: Kundi la wanamgambo la Nigeria lamewaachia watoto 833.

Kundi moja la wanamgambo ambalo linaendesha mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria limewaachia huru watoto 833 miongoni mwa ngazi zake. Christophe Boulierac msemaji wa Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (Unicef) amesema kuwa kundi hilo la wanamgambo la CJTF liliundwa mwaka 2013 na vijikundi vya kiraia katika [&hellip

Watu 35 waaga dunia katika maporomoka ya ardhi Uganda.

Watu 35 waaga dunia katika maporomoka ya ardhi Uganda.

Makumi ya watu wameripotiwa kupoteza maisha katika maporomoko ya ardhi yaliyotokea jana adhuhuri katika vijiji vilivyoko kwenye kaunti ndogo ya Bakalasi, wilayani Bududa mashariki mwa Uganda. Martin Owor, Kamishna wa Idara ya Kupambana na Majanga nchini humo amesema watu 31 wamethibitishwa kupoteza maisha, baada ya maporomoko ya ardhi kutokea chini ya Mlima Elgon, mashariki mwa [&hellip

Wafanyakazi watatu wa shirika lisilo la kiserikali wakamatwa Burundi.

Wafanyakazi watatu wa shirika lisilo la kiserikali wakamatwa Burundi.

Hali ya taharuki imeendelea kutawala nchini Burundi baada ya serikali ya nchi hiyo kuchukua hatua ya kusitisha shughuli za mashirika kadhaa yasiyokuwa ya kiserikali huku baadhi ya wafanyakazi wa mashirika hayo wakianza kutiwa mbaroni. Habari zaidi kutoka Bujumbura zinasema kuwa, wafanyakazi watatu raia mmoja wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Warundi wawili wamekamatwa katika [&hellip

Waziri Mkuu wa Ethiopia afikia makubaliano na wanajeshi.

Waziri Mkuu wa Ethiopia afikia makubaliano na wanajeshi.

Abiy Ahmed Waziri Mkuu wa Ethiopia jana alifikia makubaliano na mamia kadhaa ya wanajeshi wa nchi hiyo waliofika ofisini kwake wakidai nyongeza ya mishahara; ambapo wanajeshi hao walikubaliwa kumuona Waziri Mkuu huyo. Habari zinasema kuwa mkutano wa pande mbili hizo ulimalizika kwa kufikiwa makubaliano. Sambamba na kudai nyongeza ya mishahara, wanajeshi hao pia walimataka Waziri [&hellip

Al-Shabaab ya Somalia yaua 5 kwa tuhuma za ujasusi.

Al-Shabaab ya Somalia yaua 5 kwa tuhuma za ujasusi.

Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab la Somalia lenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda limewaua kwa kuwamiminia risasi watu watano kwa tuhuma za kufanya ujasusi kwa niaba ya vyombo vya kiintelejensia vya Marekani, Uingereza na Somalia. Genge hilo la kitakfiri kupitia radio yake ya Andalus limethibitisha kutekeleza hukumu hiyo jana Jumanne katika [&hellip