Category: eBooks (Swahili)
(Badilisha Lugha KISWAHILI) Falsafa Ya Mwezi Mtukufu Wa Ramadhani
Falsafa Ya Mwezi Mtukufu Wa Ramadhani Hujatul-Islam Sayyid Jawad Naqvi Makala hii inazungumzia falsafa ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambayo kwa kawaida huwa inatafsiriwa kwa makosa kwamba Saumu ndio lengo kuu la Ramadhani. Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni mwezi ambao Mwenyezi Mungu ameuneemesha ummah wa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) kwa rehema Yake kubwa kabisa ya Mwongozo,





